Entertainment


KUFANYA SEX KUPITIA SIMU



KUFANYA MAPENZI KWA NJIA YA SIMU /PHONE'S SEX...!

Watu wengi wanafanya sex kwa kutumia simu zao, ila wengi hawafahamu. Leo ningependa twende kuangalia jinsi gani anavyoweza kufanya mapenzi kupitia simu yake.

kwanza tufahamu kuwa kuna aina mbili za sex.

1.Contact sexual intercose :hii ni aina ya sex ambayo huusisha kugusana miili kwa mtu na mtu.

🔹inaweza ikahusisha viungo vya uzazi (sex organs) ambayo huitwa Penetrating sex au isihusishe viungo vya uzazi ambayo huitwa Non Penetrating sex ambapo hapa watu huchezeana miili mpaka wanafikia kilele, ejaculation (wanaume) au orgasm (wanawake).

2. Non contact sexual intercose :hapa mtu hufikia kilele cha tendo kwa kuvuta hisia ya mtu fulani katika akili yake au picha za utupu (ponography).

🔹Mara nyingi hii huusisha masterbation (kujisisimua kwa viungo vya uzazi kwa kutumia mkono au viungo vingine vya bandia mpaka mtu anafika katika kilele).

Watu wengi wanadhani sex ni mpka pale viungo vya uzazi vigusane, lakini hiyo si sawa. Hata bila ya viungo vya uzazi kugusana bado unaweza ukawa umefanya sex kama tulivyoona katika maelezo hapo juu 🔝.

Na Yesu alisema wazi kabisa kuwa sex si mpaka watu watumie viungo vyao vya uzazi hata kupitia mawazo mtu atahesabika amefanya sex.

"Mmesikia kwamba imenenenwa Usizini, lakini mimi nawaambia kila mtu AMTAZAMAYE MWANAMKE KWA KUMTAMANI (kimapenzi), AMEKWISHA KUZINI NAYE MOYON MWAKE "

                  MATHAYO 5 :27-28

Hapo Yesu alikuwa anaongelea Non contact sex. Ambayo wengi tunaifanya bila kujua.

Vijana wengi waliokoka wanazini kila siku kupitia simu zao huku wao wenyewe wakijiona wapo safi. Matokeo yake wanajikuta wazito kwenye mambo ya Mungu na maisha yao ya kiroho yanaporomoka kila siku.

Mara nyingi maongezi hayo hufanyika katika faragha (mazingira ya SIRI), muda wa usiku kuanzia sa 4 usiku pindi watu wengi wakiwa wamelala na saut zinazatumika ni za chini zilizo beba hisia kubwa ya tendo lenyewe na maongezi hayo yanaweza yakawa hivi.. :

Kijana : hallo, sweet

Binti :hallo, baby, jamani nimekumic mwenzio..

Kijana : ooh, thanx, mic u too. Vipi unafanya nin baby?

Binti : Nipo tu nimejilaza kitandani. Na wewe?

Kijana :Hata mim pia, yaan baby... Mmh, basi tu..

Binti :sweet, nin tena jaman..?

Kijana :Yaani nataman tungekuwa wote hapo kitandani na hii baridi .. Daah.

Binti : Aah, hata mimi pia nasikia baridi hapa. Kama tungekuwa wote ungefanyaje?

Kijana : Yaani ningeku'huge so tight.. Na makiss kibaoo

Binti :hahaha, halafu wewe, eeh ungenikis wapi?

Kijana : Hapo ningeanzia usoni, halafu nashuka kwenye mashavu, then kwenye lips zako, mmh, tena zilivokuwa nzuri.. Halafu naenda kwenye shingo.. Daa, sweet, nataman tungekuwa wote jamani. Sasa niulize mikono itakuwa inafanya nini?

Binti :Aisee, umejuaje? Na mim nilitaka kukuuliza, umeniwahi tu, aya niambie baby.

Kijana : okay, hapo sasa mikono ziara itaanzia kichwani, nitachezea nywele zako kwa utulivu, huku naishusha kwenye masikio, shingoni, Kifuani hapo ziara itasimama kwa muda kama wa dakika 10 hivi, ikifanya ukaguzi, halafu inashuka tumboni mpka kwenye kitovu.. Halafu..... Basi baby siendelei tena.

Binti :Jamani sweet, niambie bhana, ndio nin hivyo..? Tell me plz (kwa sauti ya kubembeleza).

Kijana :Aya baby usijal, eeh sasa hapo tumboni itachezea kitovu kwa muda halafu itarudi nyuma kwenye kiuno hapo ingekuwa vizuri kama kungekuwa na zile kamba zenu mnazovaaga kiunoni, ikitoka hapo itashuka taratibu kwenye yale miinuko miwili, halafu itakuja kwa mbele kwenye mapaja hapo nitaipitisha katikati, huku kiss Zikiendelea hapo, then nitayatenganisha mapaja hapo sasa nita.....................

                  hapo utamalizia mwenyewe maongez yao yatakuwaje..
 
▫▫▫▫▫▫▫▫

Kwa Maongezi kama hayo kuna utofaut gani na yule aliyezini kabisa kwa kugusana? Kibiblia wote mtakuwa mmezini.

Dhambi ipo ya KUWAZA, KUSEMA na KUTENDA. Yeye aliyewaza kuzini, yule aliyeongelea Uzinzi na aliyetenda UZINZI wote ni WAKOSAJI, WOTE WAMEFANYA UZINZI.

NDUGU KAMA UMEOKOKA, EBU SIMU YAKO ISIKUFANYE UMKOSEE MUNGU. CHUNGA SANA MAONGEZI YAKO.

"MSIDANGANYIKE, MAZUNGUMZO MABAYA HUHARIBU TABIA NJEMA "

            1 WAKORINTHO 15 :33

MWISHO WA MAONGEZI HAYO UTAJIKUTA NGUVU YA MUNGU INASHUKA NDANI YAKO HATA KUOMBA UTAJIKUTA MZITO, WENGI HUFANYA MASTERBATION NA HATIMAYE UTAJIKUTA UMEANGUKA KWENYE TENDO LENYEWE LA UZINZI.

" LAKINI KILA MMOJA HUJARIBIWA NA TAMAA YAKE MWENYEWE HUKU AKIVUTWA NA KUDANGANYWA.

'HALAFU ILE TAMAA IKIISHA KUCHUKUA MIMBA HUZAA DHAMBI, NA ILE DHAMBI IKIISHA KUKOMAA HUZAA MAUTI "

            YAKOBO 1 :14-15.

NB : KUWA NA MCHUMBA NI KITU CHEMA, ILA MSIPOKUWA MAKINI ADUI ANAWEZA AKAHARIBU USHUHUDA WA UCHUMBA WENU KWA KUWAFANYA MUANGUKE KWENYE UZINZI KUPITIA SIMU ZENU.

" LAKINI ZIKIMBIE TAMAA ZA UJANANI, UKAFUATE HAKI, NA IMANI NA UPENDO NA AMANI, PAMOJA NA WALE WAMWITAO BWANA KWA MOYO SAFI "

           2 TIMOTHEO 2 :22

MUNGU AWASAIDIE VIJANA WOTE MTAKAO SOMA UJUMBE HUU..!
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.